Serikali ya kaunti ya Samburu yatoa fidia ya ngamia kwa wafugaji

  • | Citizen TV
    458 views

    Serikali ya Kaunti ya Samburu imeanza mchakato wa kuwafidia wafugaji walipoteza wnyama wao kwenye ukame na wizi wa mifugo. wafugaji hao wanapewa ngamia ili kuwarejesha katika hali yao ya kupata ziriki. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu kutoka Samburu Mashariki.