Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia Pamoja na NCPB yaanzisha mpango wa kusambaza pembejeo mashinani

  • | Citizen TV
    553 views

    Msimu wa upanzi umewadia katika kaunti ya Trans-Nzoia, serikali ya kaunti hiyo kwa ushirikiano na bodi ya nafaka nchini NCPB imeanzisha mpango wa kusambaza pembejeo mashinani. Wakulima wakiitaka wizara ya kilimo kuendeleza utafiti zaidi kwani wanahofia kuwa mbolea iliyoletwa haitawapa faida.