Serikali ya kaunti yapendekeza hoteli kuimarishwa kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    397 views

    Agizo la kaunti ya Kilifi kutaka hoteli zilizosambaratika kukarabatiwa mara moja au zivunjwe limeendelea kuibua hisia katika kaunti hiyo. Japo baadhi ya wadau wa utalii wanaunga mkono agizo hili, kuna wale wanaohisi kuwa kuvunjwa kwa hoteli hizo si suluhu.