29 Aug 2025 10:20 am | Citizen TV 224 views Duration: 1:55 Rais William Ruto amesema serikali yake inaendelea na mageuzi ya elimu ili kuhakikisha wanafunzi wanapata maarifa na stadi zinazohitajika katika ulimwengu wa sasa.