Serikali ya Kenya yashtakiwa kwa kumuondolea mtengenezaji bidhaa malipo ya shilingi bilioni-188.9

  • | KBC Video
    164 views

    Serikali ya Kenya imeshtakiwa kwa madai ya kumuondolea mtengenezaji bidhaa malipo ya shilingi bilioni-188.9 na hivyo kuinyima nchi hii mapato. Wakili Apollo Mboya aliyewasilisha rufaa hiyo alieleza mahakama kuwa serikali ilikaidi kanuni za matozo ya ushuru na hivyo kusababisha hasara ya mamilioni ya pesa ambazo zingelipwa kama ushuru kufadhili maendeleo. Mahakama kuu jijini Nairobi inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu suala hilo mnamo tarehe-9 mwezi Oktoba mwaka huu. Hayo ni kwenye mizani yetu ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive