Serikali ya kitaifa na ile ya kaunti ya Homa Bay zimehimizwa kusaidia katika ufugaji wa nyuki

  • | KBC Video
    2 views

    Serikali ya kitaifa na ile ya kaunti ya Homa Bay zimehimizwa kusaidia na kutambua ufugaji wa nyuki una faida kubwa katika uchumi wa taifa hili. Wafugaji nyuki katika kaunti ya Homa Bay, wamesema mradi huo unaweza kuwa kitega uchumi iwapo utafadhiliwa ipasavyo. Wafugaji nyuki pia wanatoa wito wa kubuniwa kwa vyama vya ushirika vya wafugaji nyuki katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News