Serikali ya kitaifa yalaumiwa kwa kulemaza elimu

  • | Citizen TV
    215 views

    Wizara ya elimu imelaumiwa kwa kuchelewesha pesa za kufadhili elimu ambazo zinaonekana kuathiri shughuli za shule nyingi nchini.