Serikali ya Mombasa huenda ikalazimika kutumia mahakama kuwashtaki waliokiuka sheria za ujenzi

  • | Citizen TV
    762 views

    Serikali ya kaunti ya Mombasa inasema huenda ikalazimika kutumia mahakama ili kubomoa baadhi ya majengo yanayodaiwa kujengwa kimakosa kwenye mikondo ya maji ya mvua na kusababisha mafuriko.