- 12,529 viewsDuration: 1:13Jeshi la polisi la tanzania limetoa onyo kali dhidi ya maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 mwezi huu , likisisitiza kuwa wale wanaoratibu maandamano hayo watakabiliwa kisheria. katika taarifa ya msemaji wa serikali ya tanzania Gerson Msigwa amewashutuhumu wanaoandaa maandamano hayo kwa kutaka kuingiza nchi hiyo kwenye machafuko.