Serikali ya Trans Nzoia yafungua maghala ya mbolea mashinani

  • | Citizen TV
    198 views

    Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia imefungua maghala nyanjani ili kuwapunguzia wakulima mwendo wa mbolea. Gavana wa kaunti hiyo George Natembeya anasema nia kuu ni kupunguza gharama za upanzi pamoja na kusisimua kilimo cha mahindi lengo kuu likiwa kuzalisha zaidi ya magunia milioni 11 msimu huu. Collins Shitiabayi na taarifa hiyo.