Serikali ya Uholanzi yatoa ufadhili kwa sekta ya uvuvi Turkana

  • | Citizen TV
    179 views

    Naibu Gavana wa Turkana John Erus Amesema Kwamba serikali ya Uholanzi pamoja ni Kaunti ya Turkana, wametoa kitita cha shilingi bilioni 1.52 ili kuboresha uvuvi Ziwani Turkana kwa lengo la kunufaisha zaidi ya watu 40,000 wanaotegemea uvuvi.