- 620 viewsDuration: 2:23Serikali ya Kenya imeagizwa kuilipa jamii ya Ogiek shilling millioni 157.8 kwa uharibifu wa mali na masaibu waliyoyapitia wakati wa shughuli ya kuwafurusha kutoka msitu wa Mau.Mahakama ya bara la Afrika kuhusu haki za binadamu ilipotoa uamuzi wake ilisema ufurushaji huo ulikiuka haki za watu wa jamii ya Ogiek na serikali ya kenya inapasa kuwapa watu wa jamii ya Ogiek hati za kumiliki ardhi za mababu wao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive