Serikali yaahidi kuwafadhili wakulima wa magharibi kwa Ksh.2b

  • | Citizen TV
    408 views

    Wakulima kutoka ukanda wa magharibi sasa watafaidi ufadhili wa zaidi ya shilingi bilioni mbili, baada ya serikali kuahidi kufufua kilimo cha miwa na pamba. Baadhi ya wakulima walikuwa wamesusia mimea hiyo miwili kutokana na mapato ya chini. Na kama anavyoarifu Laura Otieno wakulima hao pia watapata soko za ughaibuni kutokana na mikataba iliyotiwa saini hivi majuzi .