Serikali yaahirisha ufunguzi wa shule zote za msingi na sekondari

  • | KBC Video
    8 views

    Mamia ya wanafunzi waliofika shuleni leo walifadhaika kufuatia tangazo la wizara ya elimu la kuahirisha ufunguzi wa shule zote za msingi na za sekondari hadi wiki ijayo tarehe 6 mwezi Mei. Wazazi katika Kaunti ya Kajiado ambao walikuwa wamesafiri kutoka maeneo ya mbali wameelezea kutoridhishwa huku wakikadiria gharama kubwa wakisema tangazo hilo la serikali lilichelewa mno kutolewa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive