Serikali yaanzisha mpango wa chakula shuleni Baringo

  • | Citizen TV
    96 views

    Serikali imeanzisha mpango maalum wa lishe shuleni katika eneo la Tiaty kaunti ya Baringo, ambalo lina kiwango kikubwa cha ujinga, kwa 90%, kwa lengo la kuwavutia watoto kuhudhuria masomo.