Serikali yabomoa nyumba mtaani Milimani Kakamega

  • | Citizen TV
    2,685 views

    Mamia ya wakazi wa mtaa wa kifahari wa Milimani mjini Kakamega wameachwa bila makao huku wakikadiria hasara ya mamilioni ya pesa baada ya nyumba zao kubomolewa ili kupisha ujenzi wa mpango wa nyumba za bei nafuu.