Serikali yaelezea wasiwasi kufuatia kujiondoa kwa wafadhili wa miradi mikubwa kama vile ya chanjo

  • | K24 Video
    16 views

    Serikali sasa imeelezea wasiwasi wake kufuatia kujiondoa kwa wafadhili wa miradi mikubwa kama vile ya chanjo na dawa za magonjwa mbalimbali yakiwemo malaria na ukimwi. Kulingana na msemaji wa serikali Isaac Mwaura bado kuna matumaini kwani serikali imeanza harakati za kutafuta wafadhili wengine ili kuziba pengo la kifedha. Uchumi huenda ukaathirika zaidi kwani serikali haina pesa za kukarabati barabara.