Kwa muda mrefu, wakazi wa Kaksingri wamekuwa wakitegemea maji ya Ziwa Victoria kwa matumizi ya nyumbani, licha ya maji hayo kuwa machafu na kuhatarisha afya zao.
Serikali imekarabati Mradi wa Maji wa Sindo-Kinyasaga, unaolenga kutatua uhaba wa maji katika eneo hilo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya