- 2,164 viewsDuration: 2:28Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen sasa amesema kuwa familia ya afisa aliyeuwawa nchini Haiti imejulishwa kuhusu kifo cha jamaa yao, na kuwa mtafaruku wa taarifa za kifo chake zilizotolewa na Rais William Ruto ulitokana na tofauti ya muda. Haya yanajiri baada ya familia ya afisa huyo Benedict Kabiru kudai kuwa serikali haikuwa imewafahamisha kuhusu kifo cheke.