Serikali yakosolewa kwa kurekebisha sheria ya ugavi wa mapato

  • | KBC Video
    3 views

    Serikali imekosolewa kwa kufanyia marekebisho sheria ya ugavi wa mapato kupitia bajeti ya ziada . Baadhi ya mashirika ya kijamii yamedai kuwa hatua hiyo inahujumu katiba yakitaka bunge kuwasilisha mswada mpya wa ugavi wa mapato. Kwingineko, gavana wa Bomet Hillary Barchok, amesema siasa zimeingizwa kwenye maandamano yaliopangiwa kufanyika siku ya alhamisi kwa jina 'occupy bomet'. Barchok anawashtumu wapinzani wake wa kisiasa kwa kufadhili maandmano hayo. Maelezo zaidi ni katika taarifa yake Timothy Kipnusu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive