Serikali yalenga kupunguza msongamano magerezani

  • | KBC Video
    14 views

    Idara ya urekebishaji tabia itanakili idadi ya wafungwa wanaotumikia hukumu zisizozidi miaka mitano ili kuangazia upya hukumu hizo kwa lengo la kupunguza msongamano magerezani na pia kuwashirikisha kwenye mpango wa kuhudumia jamii. Idara hiyo imeimarisha mafunzo na kozi kwa wafungwa.Kwa mujibu wa katibu katika wizara ya urekebishaji tabia, Salome Beacco idara ya magereza inashirikiana na idara ya mahakama ili maafisa wa mahakama wawe wakitembelea magereza mara kwa mara kuchunguza upya hukumu za wafungwa zinazoweza kugeuzwa kuwa huduma kwa jamii. Alisema hayo alipozuru gereza ya Kericho kabla ya kuelekea kwenye magareza ya Sotik na Bomet

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive