Serikali yanuia kuhusisha kampuni zinazozalisha umeme ili kupunguza gharama ya umeme

  • | Citizen TV
    67 views

    Ili kupunguza gharama ya umeme kwa wakenya, serikali inanuia kuhusisha kampuni zinazozalisha umeme kuongeza nguvu hizo kwenye gridi ya taifa. Haya ni kwa mujibu wa katibu wa kawi Alex Wachira anayesema ndio njia ya kipekee kuhakikisha wakenya wanapata umeme kwa bei nafuu.