Serikali yaongeza mgawo wa basari za CDF

  • | Citizen TV
    308 views

    Serikali imeongeza ufadhili wa elimu kwenye hazina ya ustawishaji maendeleo ya maeneo bunge nchini ili kuimarisha viwango vya elimu nchini.