Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaonya umma dhidi ya matapeli kuhusika katika usajili wa makurutu wa KDF

  • | KTN News
    8,848 views
    Duration: 4:31
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Zoezi la usajili wa makurutu wanaotarajiwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limeanza rasmi kote nchini leo. Wananchi wamehimizwa kuwa macho ili kuepuka kutapeliwa kwa kutoa fedha kupata nafasi hizo. Waziri wa Ulinzi Soipan Tuya ameonya kwamba yeyote atakayepatikana akijaribu kuingilia shughuli hiyo atachukuliwa hatua kali za kisheria. Mwandishi wetu Herman Kamariki amezuru uwanja wa Nyayo, ambako zoezi hilo linaendelea, na ametuarifu zaidi kuhusu mwenendo wa shughuli hiyo. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews