Serikali yapania kuimarisha sekta ya biashara ndogondogo

  • | Citizen TV
    87 views

    Sekta ya biashara ndogondogo na zile za kadri inatarajiwa kuimarika , kutokana na juhudi za serikali kuu kushirikiana na vyama vya akiba na mikopo. Maafisa wa serikali wanakusanya maoni ya wananchi ya kuboresha sera zinazodhibiti sekta hiyo.