Serikali yapania kujenga vituo vya kidijitali katika wadi zote nchini

  • | Citizen TV
    575 views

    Serikali Kwa Ushirikiano Na Hazina Ya Maendeleo Ya Maeneo Bunge (Ng-Cdf) Inapania Kujenga Vituo Vya Kidigitali Katika Wadi Zote Nchini Ili Kubuni Nafasi Zaidi Za Ajira Kwa Vijana.