Serikali yapania kuongeza ada ya madini kutoka nje

  • | Citizen TV
    164 views

    Serikali inanuia kuongeza maradufu ada ya madini yanayoagizwa kutoka mataifa ya kigeni kuja humu nchini.