Serikali yasema imetoa shilingi bilioni 30.5 kwa elimu

  • | Citizen TV
    228 views

    Serikali imetoa shilingi billioni 30.5 kwa shule za upili, pamoja na mikopo ya kufadhili masomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema kuwa fedha hizo zitasambazwa shuleni kabla ya shule za upili kufungwa kwa likizo fupi mwezi ujao