Serikali yasema itaajiri walimu 20,000 zaidi

  • | Citizen TV
    106 views

    Serikali imejitolea kuhakikisha uwiano wa walimu kwa wanafunzi unawezekana kwa kuajiri walimu 20,000 zaidi ambao watatatua upungufu mkubwa unaoshuhudiwa nchini.