- 4,929 viewsDuration: 1:46Waziri wa uwekezaji, biashara na viwanda Lee Kinyanjui amesema Kenya sasa itaanza kuuza gesi ya kupikia katika mataifa ya nje pindi tu ujenzi wa bohari la kuhifadhi gesi la Taifa Gas utakapokalimika katika eneo la Dongu Kundu.