Serikali yasema mradi wa umeme wa settet utakamilika

  • | Citizen TV
    144 views

    Serikali kupitia wizara ya kilimo imewahakikishia wakulima wa majani chai huko kericho kuwa mradi wa nishati ya maji wa settet utakamilishwa kwa haraka