Serikali yasimamisha shughuli za ibada katika kanisa moja eneo bunge la Msambweni

  • | K24 Video
    37 views

    Serikali imesimamisha shughuli za ibada katika kanisa moja la SDA-Rainbow Faith Ministry vumbu eneo bunge la Msambweni huku ikiendeleza uchunguzi kufuatia madai ya kuwapotosha waumini, kutumia ardhi isiyo yake na kukusanya waumini wengi pamoja sawa na kususia matibabu na masomo