25 Nov 2025 11:00 am | Citizen TV 442 views Duration: 1:51 Baadhi ya mashirika ya kutetea haki za binadamu kaunti ya Kwale yameitaka serikali kuanzisha vituo vya kuchunguza visa vya dhulma za kijinsia mitandaoni katika kila kaunti.