Serikali yatakiwa kuchunguza madai ya mauaji ya waandamanaji

  • | KBC Video
    13 views

    Chama cha Wanasheria nchini Kenya sasa kinalitaka baraza la kitaifa la Usalama kuyaagiza mashirika yote ya uchunguzi kuanzisha na kuweka hadharani ripoti kuhusu athari kamili za maandamano ya vijana al maarufu GEN Z ya mwaka jana na mzozo wa ardhi huko Narok uliosababisha vifo vya waandamanaji watano. Akizungumza jijini Nairobi, Rais wa chama cha wanasheria humu nchini Faith Odhiambo alisema hatua hiyo itafanikisha kutambuliwa kwa wahusika na waathiriwa, na kuwezesha hatua mwafaka kuchukuliwa. Huyu hapa mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim na kina cha taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive