10 Sep 2025 10:06 am | Citizen TV 125 views Duration: 1:33 Serikali kupitia wizara ya elimu na ile ya fedha imetakiwa kuhakikisha Shule za umma zinapata mgao wa fedha za elimu Kwa wakati ufaao.