Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatenga shilingi milioni 800 kwa ujenzi wa barabara za Kilifi

  • | Citizen TV
    647 views
    Duration: 2:19
    Serikali ya kaunti ya Kilifi mwaka huu wa kifedha itatumia takriban shilingi milioni 800 kuboresha barabara kulingana na kaimu katibu wa kaunti hiyo Philip Charo.