- 161 viewsDuration: 1:39Serikali hii leo imetoa shilingi bilioni 44.2 kwa ufadhili wa masomo kwa ajili ya muhula wa kwanza kwa wanafunzi katika shule zote za umma nchini. Elimu bila malipo kwa shule za sekondari imepokea mgao mkubwa zaidi wa ufadhili huo wa zaidi ya shilingi bilioni 26. Wizara ya elimu wakati huu, imewaagiza wasimamizi wa shule kuhakikisha matumizi bora ya ufadhili huo na ikawaonya dhidi ya kuwatoza wanafunzi ada zozote zile. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive