Serikali yatoa msaada wa vyakula na malazi kwa waathiriwa

  • | Citizen TV
    271 views

    familia zaidi ya 1,700 ambazo ziliathirika na mafuriko katika eneo la Tana Delta Kaunti ya Tana River zimepokea msaada wa malazi na chakula kutoka kwa serikali kuu kupitia idara ya maswala maalum.