Serikali imetoa muda wa siku 90 kwa raia wa kigeni kusajili uwepo wao humu nchini kisheria. Kupitia taarifa ya hatibu wa Ikulu Hussein Mohammed, serikali pia imeonya kwamba hatua kali itachukuliwa dhidi ya mtu yeyote atakayewahangaisha, kuwadhulumu, kuwatishia au kuwadhihaki raia wa kigeni au kuharibu biashara zao. Hayo yamejiri huku raia wa Burundi wakifurika kwenye ubalozi wa taifa hilo humu nchini, kutafuta usaidizi ili kurejea makwao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive