- 33 viewsDuration: 2:32Serikali imetahadharisha dhidi ya ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya hasa miongoni mwa vijana. Akizungumza katika kaunti ya Kirinyaga , katibu wa afya ya umma Mary Muthoni alisema wizara ya afya imebainisha kuwa matumizi ya pombe haramu yanaendelea na hivyo kuhatarisha afya ya watumizi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive