Serikali yatoa tahadhari kwa wanaoishi karibu na Mito

  • | Citizen TV
    342 views

    Waziri wa Utumishi wa umma na Mipango maalum Geoffrey Ruku ametoa tahadhari kwa wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoko katika hatari ya kushuhudia Mafuriko