Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, amewahakikishia wakenya kuwa usalama umeimarishwa kote nchini, huku maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya yakianza. Waziri Murkomen pia ametoa wito kwa vijana kujiepusha na matumizi ya dawa za kulevya na vileo, akiwahimiza kuzingatia michezo badala yake.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive