Serikali yawaonya wanaowanyemelea wasichana kaunti ya Narok

  • | Citizen TV
    123 views

    Serikali kuu imetoa onyo kali kwa wanaume wanaodhamiria kuwadhulumu wasichana msimu huu ambapo utalii hunoga hasa katika kaunti ya Narok.