Serikali yaweka mikakati kuwalinda Wakenya wanaofanya kazi nje

  • | KBC Video
    16 views

    Serikali inaimarisha juhudi za kulainisha mfumo wa nchi hii wa kuwapeleka wafanyakazi nje ya nchi huku wasiwasi ukiongezeka kuhusiana na kuhadaiwa kwa wananchi wanaotafuta ajira ughaibuni. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi alisema kuwa uchunguzi unaendelea kuwabaini mawakala wahuni wanaowapunja wale wanaotafuta ajira nje. Haya yanajiri siku chache baada ya vijana wa humu nchini kutoa ushahidi mbele ya kamati ya Senate kuhusu masaibu yanayowapata.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive