Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaweka taa za sola katika soko la Nambale, Busia

  • | Citizen TV
    295 views
    Duration: 4:03
    Biashara katika soko la Nambale kaunti ya Busia zinatarajiwa kuimarika maradufu baada ya soko hilo kupata taa za barabarani. Wafanyabiashara sokoni humo hasa wanawake wanasema wamekuwa wakihangaishwa na wahalifu giza linapoingia, kadhia ambayo sasa inatarajiwa kupungua au hata kuisha.