- 152 viewsSerikali imetangaza oparesheni mpya ya kiusalama ya kukabiliana na wezi wa mifugo na majangili katika kaunti za Isiolo, Samburu na Meru. Waziri wa usalama kipchumba murkomen, amesema oparesheni hiyo ya pamoja itahusisha wanajeshi wa kdf na shirika la kitaifa la ujasusi (NIS). Murkomen amesema vyombo hivyo vitafanya kazi kwa ushirikiano na polisi kuwaondoa majangili na kumaliza kabisa uhalifu katika maeneo hayo