Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua sera ya kushirikisha wananchi chini ya miti Isiolo

  • | Citizen TV
    433 views
    Duration: 1:41
    Serikali ya Kenya imezindua rasmi mpango wa ushirikishwaji wananchi chini ya miti katika maamuzi ya maendeleo kupitia mazungumzo ya moja kwa moja katika ngazi ya vijiji. Mpango huo unaosimamiwa na chuo cha mafunzo ya serikali ulizinduliwa katika eneo la Oldonyiro, kaunti ya Isiolo, huku ukilenga kuwapa wananchi nafasi ya kueleza changamoto zao, kuchambua mchakato wa utoaji huduma na kushirikiana na serikali kutafuta suluhu.