Serikali imezindua upya Mamlaka ya Kusimamia Mashirika ya Manufaa kwa Umma ambayo hapo awali ilikuwa Bodi ya ushirikishi wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika juhudi za kuimarisha usimamizi, uwazi na uwajibikaji katika sekta ya mashirika yasiyo ya kibiashara nchini Kenya.Mamlaka hiyo ilizindua nembo mpya na tovuti mpya siku ya Jumanne, hatua inayowakilisha mageuzi makubwa ya mifumo yake ya kidijitali ili kuboresha utoaji wa huduma na ushirikiano na wadau.Mamlaka hiyo imepewa jukumu la kusajili na kusimamia mashirika yote yasiyo ya kiserikali na taasisi za misaada zinazoendeleza shughuli zake humu nchini
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive