Skip to main content
Skip to main content

Serikali za kaunti zageukia mfumo wa taa za sola ili kupunguza bili za stima

  • | NTV Video
    38 views
    Duration: 1:36
    Huku afisi ya mkaguzi wa serikali ikiendelea kuandama kaunti kwa matumizi mabovu ya kawi, ada za juu za umeme na gharama ya kuweka taa za mitaa,baadhi ya magatuzi sasa yameafikia mfumo wa taa za sola ili kupunguza bili za stima. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya