1 Feb 2026 8:00 pm | Citizen TV 219 views Duration: 1:12 Bao la kipekee la mshambulizi Brian Michira lililofungwa kupitia mkwanju wa penalti dakika ya 28 kipindi cha pili lilitosha kuipa shabana ushindi wa bao moja bila jibu katika mechi ya ligi kpl iliyochezwa uwanjani gusii